
Sofa ya Ngozi Brown
TSh 390,000
Sofa ya ngozi ya kahawia yenye miguu ya mbao. Ina mvuto wa kifahari na inayodumu muda mrefu. Usafiri ni bure, unalipa baada ya kupokea.
- 🚚 Usafiri ni BURE
- 💵 Unalipa baada ya kupokea
- 📍 Ofisi: Keko Msikitini, karibu na Ustadh Ally Mbuki