
Kitanda cha Cream Nyeupe
TSh 265,000
Kitanda cha cream nyeupe chenye kichwa cha mviringo kilaini. Kilifaa kwenye chumba chenye mwanga mwingi. Usafiri ni bure, unalipa baada ya kupokea.
- 🚚 Usafiri ni BURE
- 💵 Unalipa baada ya kupokea
- 📍 Ofisi: Keko Msikitini, karibu na Ustadh Ally Mbuki